Msanii wa Bongo Fleva H.BABA amefunguka na kushauri ya kwamba ni vyema kila mtu nyumbani kwake aweke sanamu ya mwanamuziki Diamond Platnumz kwa makubwa anayofanya ambapo amesema
“”Kila Mtanzania atengeneze Sanamu ya @diamondplatnumz aiweke nyumbani kwake kama sehemu ya kuthamini mchango wake kwenye Muziki hapa Tanzania” @h.baba_
Kwa story zote za town like page yetu Facebook na kutufollow YouTube Channel yetu Ngasu Media hakika hutopitwa na chochote saa 24.
+ There are no comments
Add yours