Supa Star wa klabu ya PSG Mbrazil Neymar Jr na mpenzi wake Bruna Biancardi wamezua gumzo mtandaoni mara baada ya kuchapisha picha ya pamoja wakionyesha furaha yao ya kutarajia kupata mototo wa kiume.
“Tunaota maisha yako, tunapanga kuwasili kwako na kujua kuwa uko hapa ili kukamilisha mapenzi yetu hufanya siku zetu kuwa za furaha zaidi, utafika katika Familia nzuri, pamoja na Kaka, Babu,Shangazi ambao tayari wanakupenda sana!, njoo upesi mwanangu, tunakusubiri kwa hamu”-Neyamar & Bruna kupitia kurasa zao za Instagram,
+ There are no comments
Add yours