Diamond Platnumz Aongeza Ada Za Malipo Ya Shoo Zake Afrika Mashariki

Estimated read time 1 min read

Diamond Platnumz akiwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi, alifunguka juu ya hali iliyomlazimu kukagua ada za shoo zake na kutokana na hilo, shoo za Kenya zikawa ngumu kupatikana tofauti na siku za nyuma.

Mwanamuziki huyo aliwaambia waandishi wa habari kuwa alilazimika kupandisha viwango vya malipo yake baada ya kubaini kuwa wasanii wa mataifa mengine wanalipwa pesa nyingi zaidi kufanya maonyesho Afrika Mashariki kuliko wasanii wa nyumbani.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours