Staa wa Singeli, D Voice Ginnii, Ajiunga Na WCB Wasafi

Estimated read time 1 min read

Staa wa Singeli, D Voice Ginnii anakuwa msanii wa nane kutambulishwa na WCB Wasafi, Record Label yake Diamond Platnumz.

Utakumbuka awali WCB iliwatambulisha Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Rich Mavoko, Lava Lava, Mbosso na Zuchu.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours