Nani Mkali – Harmonize Kuachilia Album Yake Leo Huku Rayvany Akitoa Nyimbo 5.

Estimated read time 1 min read

Leo ni siku ya Siku ya kupokea burudani kutoka kwa kutoka kwa wasanii wa bongo Harmonize na Rayvany.

Harmonize alitangaza kutoa Album yake leo naye Rayvany anatarajiwa kuja na nyimbo zake 5.

Ni siku ya kumjua yupi mkali zaidi ya mwingine ikikumbukwa kuwa walisema kwamba walimaliza chuki yao na Sasa wanafanya TU ushindani wa kazi ili kusukuma mziki wa Tanzania mbele.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours