Ili kuimarisha vita dhidi ya kuenea kwa Malaria, gavana wa Mombasa Nasir akiwa na afisa WA kutoka kwa KEMSA, Andrew Mulwa, walizindua shehena ya vyandarua 932,000 vilivyopokelewa kutoka kwa KEMSA.
Vyandarua hivyo vitasambazwa katika wadi zote 30 kaunti nzima pamoja na vituo vyote vya afya vya kaunti kuhakikisha ulinzi wa kutosha dhidi ya kuenea kwa Malaria.
WAKAAZI WA WADI 30 KAUNTI YA MOMBASA KUFAIDI VYANDARUA ZA MBU
Estimated read time
1 min read
You May Also Like
More From Author
Govt Pursues Morara Kebaso Over Ksh27M in Unpaid Taxes
January 8, 2025
Knec releases 2024 KPSEA exam results
January 8, 2025
+ There are no comments
Add yours