Kylian Mbappe amekamilisha uhamisho wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kutoka Paris Saint-Germain kwenda Real Madrid na kusaini mkataba wa miaka mitano na Los Blancos.
Kylian Mbappé, anatarajiwa kuvaa jezi namba tisa 9️⃣ huko Real Madrid.
Mbappé na Real Madrid wanamheshimu Luka Modrić ambaye amesalia na kuongeza mkataba wake kwa msimu ujao.
Kylian anaweza kusubiri namba 10 kama Cristiano Ronaldo alivyofanya miaka iliyopita kwa nambari 7 na gwiji mwingine, Raúl.
+ There are no comments
Add yours