Luis Suarez Ametangaza Kustaafu kuichezea Uruguay kumbukumbu za Ghana zikizua kwa mashabiki.

Estimated read time 1 min read

Wakati wa Kombe la Dunia 2010 pale Afrika Kusini,

Mechi ya robo fainali dhidi ya Ghana, Stephen Appiah wa Ghana akiwa anaelekea kuweka Historia ya kuipeleka Ghana nusu fainali lakini Suárez aliuzuia mpira Golini kwa mikono yake.

Huenda ndo Tukio linalobaki akilini zaidi ukiachana na kesi zake za kuwang’ata Kina Chiellini na Ivanovic.

Ni Toka Mwaka 2007 alipoanza kuichezea Timu yake ya Taifa ya Uruguay hadi leo 2024 anapotangaza kustaafu.

El Pistolero maarufu kama Luis Suarez ameifungia Uruguay mabao 69 ndani ya Mechi 142.

Hii inamfanya kua Mfungaji Bora wa Muda wote ndani ya Timu Taifa.

Akiwa na miaka 37 Ametangaza Rasmi Kustaafu kuichezea Uruguay.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours