B Classic Apoteza Umiliki Wa YouTube Channel Kwa Management

Estimated read time 1 min read

Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management.

Msanii huyo kwa mara ya pili amefungua YouTube channel mpya na ako na ngoma mpya inaitwa Tupewe pombe

Kwa mashabiki wa burudani wanaofurahishwa na mziki wa B Classic mnaweza kumpata kupitia youtube channel Official Bclassic

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours