Hussein Mohammed atawania kiti cha urais cha FKF huku McDonald Mariga akiwa mgombea mwenza wake!

Estimated read time 1 min read

Kiungo wa kati wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Kenya, McDonald Mariga, anatarajia kutangazwa rasmi leo Ijumaa kama mgombea mwenza wa Hussein Mohammed ambaye anawania Urais wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF).

Uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) umeratibiwa kufanyika tarehe Disemba 07, 2024.

McDonald Mariga Wanyama ameweka rekodi hizi:-

🇰🇪Mkenya wa kwanza kucheza LaLiga

🇰🇪 Mkenya wa kwanza kucheza Serie A

🇰🇪 Mkenya wa kwanza kucheza Ligi ya Mabingwa barani Ulaya

🇰🇪 Mkenya wa kwanza kushinda Ligi ya Mabingwa barani Ulaya

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours