Timu ya Taifa Tanzania Under 20 Yachukua Ubingwa wa CECAFA, Waifunga Kenya

Estimated read time 1 min read

Timu ya Taifa Tanzania imewalaza Kenya bao 2-1, katika Uwanja wa KMC, Dar es Salaam na kuchukua ubingwa wa CECAFA.

Timu ya Tanzania ya U20 wamepokea ZAWADI YA MILLION 20 kutoka kwa Rais @samia_suluhu_hassan baada ya timu hiyo Kutwaa Ubingwa wa U20 – CECAFA .

Ubingwa wa CECAFA kwa wachezaji walio chini ya miaka 20 umebaki Tanzania kwa mabao ya Shekhan Khamis na Valentino Mashaka. Kwa matokeo hayo ni rasmi sasa vijana hawa wamefuzu michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON) kwa U20

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours