Mwanasoka Bora wa Afrika, Victor Osimhen anayecheza kwa mkopo Galatasaray ya Uturuki kutoka Napoli ya Italia hayumo kwenye orodha ya awali ya wachezaji 10 wanaowania Tuzo hiyo kwa mwaka huu ambayo itatolewa Desemba 16 Jijini Marrakech nchini Morocco.
Lakini Wanigeria wenzake wawili, Ademola Lookman wa Atalanta ya Italia na William Troost-Ekong wa Al Kholood ya Saudi Arabia wamo katika orodha hiyo iliyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Tuzo za CAF zinazingatia yaliyotokea kuanzia Januari hadi Desemva mwaka huu.
ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO MWANASOKA BORA WA KIUME Amine Gouiri (Algeria / Rennes) Edmond Tapsoba (Burkina Faso / Bayer Leverkusen) Simon Adingra (Cote d’Ivoire / Brighton & Hove Albion) Chancel Mbemba (DR Congo / Olympique Marseille) Serhou Guirassy (Guinea / Borussia Dortmund) Achraf Hakimi (Morocco / Paris Saint-Germain) Soufiane Rahimi (Morocco / Al Ain) Ademola Lookman (Nigeria / Atalanta) William Troost Ekong (Nigeria / Al Kholood) Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
KİPA BORA WA MWAKA WA KIUME Goalkeeper of the Year (Men) Oussama Benbot (Algeria / USM Alger) Andre Onana (Cameroon / Manchester United) Yahia Fofana (Cote d’Ivoire / Angers SCO) Lionel Mpasi (DR Congo / Rodez AF) Mostafa Shobeir (Egypt / Al Ahly) Djigui Diarra (Mali / Young Africans) Munir El Kajoui (Morocco / RS Berkane) Stanley Nwabali (Nigeria / Chippa United) Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns) Amanallah Memmiche (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis)
MCHEZAJI BORA ANAYECHEZA KLABU YA AFRİKA Oussama Benbot (Algeria / USM Alger) Issoufou Dayo (Burkina Faso / RS Berkane) Ahmed Sayed ‘Zizo’ (Egypt / Zamalek) Hussein El Shahat (Egypt / Al Ahly) Mostafa Shobeir (Egypt / Al Ahly) Abdul Aziz Issah (Ghana / Dreams FC) John Antwi (Ghana / Dreams FC) Amanallah Memmiche (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis) Yassine Merriah (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis) Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
KOCHA BORA WA MWAKA MWANAUME Pedro Goncalves (Angola) Brahima Traore (Burkina Faso) Emerse Fae (Cote d’Ivoire) Sebastien Desabre (DR Congo) Jose Gomes (Zamalek) Marcel Koller (Al Ahly) Chiquinho Conde (Mozambique) Hugo Broos (South Africa) Florent Ibenge (Al Hilal) Kwesi Appiah (Sudan)
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI WA MWAKA MWANAUME Carlos Baleba (Cameroon / Brighton & Hove Albion) Karim Konate (Cote d’Ivoire / Salzburg) Oumar Diakite (Cote d’Ivoire / Reims) Yankuba Minteh (Gambia / Brighton & Hove Albion) Abdul Aziz Issah (Ghana / Dreams FC / Barcelona) Bilal El Khannouss (Morocco / Leicester City) Eliesse Ben Seghir (Morocco / AS Monaco) El Hadji Malick Diouf (Senegal / Slavia Prague) Lamine Camara (Senegal / AS Monaco) Amanallah Memmiche (Tunisia / Esperance Sportive de Tunis)
KLABU BORA YA MWAKA WANAUME Petro Atletico (Angola) TP Mazembe (DR Congo) Al Ahly (Egypt) Zamalek (Egypt) Dreams FC (Ghana) RS Berkane (Morocco) Mamelodi Sundowns (South Africa) Simba (Tanzania) Young Africans (Tanzania) Esperance Sportive de Tunis (Tunisia)
TIMU BORA YA TAIFA WANAUME Angola Burkina Faso Cote d’Ivoire DR Congo Morocco Mozambique Nigeria South Africa Sudan Uganda
+ There are no comments
Add yours