Staa wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania Lamine Yamal ameshinda tuzo ya Mchezaji bora Chipukizi (Kopa Trophy)
Lamine (17) ameweka rekodi kadhaa zikiwemo, Mchezaji mdogo kuichezea Hispania na kufunga goli akiwa na miaka 16 na siku 57, Mchezaji mdogo kufunga goli LaLiga, Euro na kutwaa Euro 2024.
+ There are no comments
Add yours