Bado Yupo Sana Anfield !

Estimated read time 1 min read

Nyota wa Liverpool, Mo Salah anakaribia kuongeza Mkataba mpya ndani ya Liverpool.

Taarifa zinadai kua Mazungumzo yanaenda Vizuri juu ya kumbakisha.

Amekua ndani ya Timu iyo kwa Miaka 8 sasa.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours