Wachezaji 6 wa Bandari FC wanatarajiwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa, Harambee stars, katika kambi ya mazoezi ya kujiandaa kuivaa Mali.Wachezaji wenyewe ni Abdallah Hassan, Benjamin Mosha, Keegan Ndemi, Siraj Mohamed, Michael Wanyika na Joseph Okoth.
Kupitia ukurasa wa facebook wa Bandari FC
+ There are no comments
Add yours