Wakaazi wa Mahoo ward kuchagua MCA wao Leo.
Donald Fundi Saleri muaniaji wa kiti hicho kupitia chama cha Jubilee atapambana na mpinzani wake Kimuyu wa chama cha UDA kwenye kinyang’anyiro hicho.
Donald Fundi Saleri aliweza kuungwa mkono na mbunge Naomi Shaban wa Jubilee huku muaniaji Kimunya akiweza kupata kuungwa mkono na gavana wa zamani Mrutu.
Chama cha ODM hakikusimamisha muaniaje na badala yake kiliamua kuunga mkono muaniaji wa Jubilee
Kiti hicho kilibaki wazi baada ya MCA marehemu Sagurani kufariki dunia mwaka huu.
+ There are no comments
Add yours