Baada ya kustaafu mwaka wa 1992, mwalimu Kidegho aliamua kujitolea kuandika kitambu kinachoelezea historia ya wasagala. Kitamb hicho kilicho kilichapishwa kwa kimombo “The History and Culture of Wasagala”. Hii ikiwa ni mchango wake kusaidia kuhifadhi utamaduni wa jamii ya Wasagala na Wataita.
Ilimchukua miaka 25 kufanya utafiti ili kuweza kuandika kitabu hicho cha kurasa 120.
Ili kusoma zaidi fungua hii link
+ There are no comments
Add yours