Mbunge wa Starehe Charles Njagua Kanyi almarufu kama Jaguar ajiunga na UDA ya Ruto

Estimated read time 1 min read

Mbunge wa Starehe, Charles Njagua Kanyi, almaarufu, Jaguar, amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA). Taarifa za mbunge huyo za kujiunga na chama za Ruto iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Twitter wa chama hicho kikimkaribisha mwimbaji huyo aliyegeuka kuwa mwanasiasa kwa chama cha UDA.

Jaguar, ambaye ni mshirika wa karibu wa Rais Uhuru Kenyatta, ndiye wa hivi punde zaidi kujiunga na chama cha Ruto baada ya mwanahabari Njogu Wa Njoroge ambaye alizinduliwa Ijumaa, Januari 21 na watachuana na Simon Mbugua katika Uteuzi wa tiketi ya Chama..

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours