Mwaniaji wa Ubunge wa Kata ya Chaani, Kaunti ya Mombasa kupitia tiketi ya UDA, aaga dunia kwa ajali ya barabara mjini Voi

Estimated read time 1 min read

Nancy Wanjala Mwashuma, ambaye pia ni mgombea ubunge wa kata ya Chaani, katika kaunti ya Mombasa, alianga dunia kupitia ajali mjini Voi alipokuwa akienda nyumbani kwa ajili ya kutayarisha matanga ya ndugu yake aliyefaa kuzikwa tarehe 9, April.

Nancy alikumbana na kifo chake jana usiku kupitia ajali mbaya ya barabarani karibu na Voi eneo la Ngutunyi kando ya Barabara kuu ya Mombasa-Nairobi.

Kisa hicho kimetokea siku moja tu baada ya chama hizo kupoteza mgombea wa ubunge wa Nandi Hills kwa ajali ya barabara

May be an image of 2 people and text that says "Nancy Mwashumbe DEMOCRATIC AULEING UDA KAZI SIKAZI Vote MCA CHAANI WARD 2022 Effective Representation. Job Oppotunities Quality Education. .Health & Sanitation Economic Empowerment olnclusivity Kazi Ni Kazi #Mabadiliko Na Mama"
Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours