Mgombea wa ugavana Mombasa kwatikiti ya ODM Abdulswamad Nassir amemtambulisha aliyekuwa mwanahabari wa Nation Francis Thoya kuwa mgombea mwenza katika kinyang’anyiro cha ugavana
Thoya alihudumu katika utawala wa gavana wa Mombasa Hassan Joho tangu mwaka wa 2013 na kuondoka February 2019 baada ya kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya kimataifa ya uingereza (DFID)
+ There are no comments
Add yours