Marekani italinda Taiwain dhidi ya uvamizi wa China : Joe Biden

Estimated read time 1 min read

Rais Joe Biden wa Marekani amesema taifa lake litalinda Tawaian kijeshi kama China itavamia kisiwa hicho chenye kujitawala chenyewe.

Joe Biden ameonya China kuwa inachezea hatari juu ya Taiwan na kuapa kuingilia kijeshi ili kulinda kisiwa hicho dhidi ya kushambuliwa.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours