Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu, ndiye mshindi wa medali ya fedha kwenye mashindano ya Afrika Mashariki. Mwanariadha huyo alitawala mbio za marathon za wanaume katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2022
Victor Kiplagat anakuwa Muganda wa kwanza kushinda dhahabu ya marathon katika Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kutumia saa 2:10:54.
Simbu alimaliza wa pili huku Kiplangat akiipatia Uganda medali ya dhahabu ya marathon ya kwanza kabisa, naye Githae wa Kenya alimaliza wa 3.
+ There are no comments
Add yours