Naomi Asema Bye! Bye! kwa siasa za Taveta, Amuunga mkono Mh.Bwire

Estimated read time 1 min read

Aliyekuwa mbunge wa Taveta mh. Naomi Shabani amesema kwanza amejiondoa rasmi kwa siasa za Taveta na hatasimama tena kuwania ubunge wa Taveta mwaka wa 2027.

Badala yake Naomi alimuunga mpinzani wake wakili Bwire aliyembandua kwa kiti na kuwarai wakaazi wa Taveta kumuunga mkono mbunge huyo mpya wa Taveta anapoanza safari yake ya uongozi

“Siasa zimeisha na mshinda amepatikana, Nawasihi wana Taveta
wote tumuungeni mkono mbunge wetu Bwire Kanoti,
Kwa wale wanaouliza kama nitasimama 2027, jibu ni kwamba siasa za Taveta Bye Bye

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours