Mwakilishi wa kata ya Mahoo MCA Daniel kimuyu afanya sherehe ya shukrani kwa wapiga kura wa eneo hilo. Sherehe hiyo ilifanyika eneo la Lessesia Taveta. Baadhi ya waliohudhuria ni gavana wa county ya Taitataveta Andrew Mwadime, Mbunge wa Taveta Wakili Bwire, Mwakilishi wa wanawake eneo la Taitataveta Lydia Haika, Mwakilishi wa Kata ya Bomeni Tondoo, Mwakilishi wa kata ya Jipe Isaac Matolo na viongozi wengine
MCA Wa Mahoo Daniel Kimuyu Afanya Sherehe Ya Shukrani
Estimated read time
1 min read
You May Also Like
Wundanyi : Eneo La Paranga Kufaidi Mradi Wa Umeme
December 3, 2024
Mh. Isaac Matolo Ashinda Tuzo La MCA Bora TaitaTaveta
November 3, 2024
EACC imewakamata maafisa 4 Taita Taveta
October 23, 2024
+ There are no comments
Add yours