Mwatate-Afueni Kwa Wazazi Wa Shule Ya Kenyatta

Estimated read time 1 min read

Ni afueni kwa wazazi na wanafunzi wa shule ya upili ya Kenyatta baada ya Mbunge wa eneo hilo Mhe. Peter Shake alipowakabidhi magodoro na Mashuka 156 ili kuwezesha wanafunzi kuendelea na masomo. Shule ya Kitaifa iliripoti kisa cha moto leo asubuhi na kuteketeza bweni la Duma.

Mbunge huyo pia ameiomba mamlaka husika kubaini chanzo cha ajali hiyo ya moto na kuja na kuweka mikakati ya kuzuia ajali kama hizo zinazotokea mashuleni.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours