Star wa bongo flava na CEO wa Record ya label ya Kondegang, msanii Harmonize, ameweza kupata shavu kubwa baada ya wimbo wake “Ameloa” kupigwa nchini Qatar kwenye viwanja vya mashindano ya kombe la dunia.
Harmonize anakuwa msanii wa pili barani afrika baada ya wimbo wa “Calm down’ wa msanii wa Nigeria heisrema kupewa airtime.
Harmonize ameshare video hio kwwnye insta story yake leo hii
Kwa habari nyingi zaidi jiunge nasi kwenye group letu la telegram https://t.me/ngasumedia
+ There are no comments
Add yours