CROATIA YAILAZA MOROCCO MABAO 2-1 NA KUINGIA TIMU 3 BORA ZA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2022

Estimated read time 1 min read

#Croatia imefanikiwa kushika nafasi ya tatu kwa kushinda dhidi ya #Morocco magoli 2-1

Mchezo pekee uliosalia ni wa Fainali, wa timu ya #Argentina dhidi ya Ufaransa, itakao chakatwa Jumapili ya Desemba 18, 2022

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours