Kijana wa miaka 9 Mkenya Aymen Onyango anajiunga na wababe wa EPL Manchester City

Estimated read time 1 min read

Aliekuwa Mchezaji wa Kimataifa wa Raga wa Kenya, Lucas Onyango, amekuwa Baba mwenye furaha baada ya Mtoto wake Aymen Onyango kusajiliwa na Klabu ya Manchester City ya Watoto chini ya miaka tisa (U-9). Kupitia akaunti yake ya Twitter,Onyango alichapisha picha ya yeye na mwanae na kusema

“Kama Baba, Mtoto wake kujiunga na klabu ya Manchester City ni wakati wa kujivunia maishani mwake”

Aidha Aymen Onyango anatarajiwa kufundishwa katika Academy hiyo huku akiimarisha ujuzi wake wa soka na baadae kucheza timu ya wakubwa.

“Our son Aymen Onyango is now officially a Manchester City player after signing for the under 9’s. In my life, I have never been this proud and this boy has worked hard to get here. The journey begins now that he has progresses through the academy. We are all over the moon,” Aliandika Onyango.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours