Msanii mkongwe wa hip hop Mr.Blue amesema licha ya yeye kutokuwa na tuzo ndani ya miaka 20 kwenye muziki.wa Bongofleva lakini yeye bado yeye ndie msanii ambaye bado watu wanamuhitaji
“Mimi ndie msanii pekee ambaye sina tuzo na sio kitu cha siri kila siku naongelea sema nashukuru Mungu watu wanasema bado wananihitajiā€¯
Q Chief amemjibu kuwa yeye anazo 3 ila haoni umuhimu wake zimeishia kupata kutu
+ There are no comments
Add yours