Alvin Ngoto Mshambulizi wa Mwatate FC Almaarufu kama Mentai ajiunga na Bandari FC.

Estimated read time 1 min read

Mshambulizi wa Mwatate United FC Alvin Ngoto almaarufu Mentai amesaini mkataba wa miaka miwili na Bandari FC.

Mshambulizi huyo hatari alifunga mabao 17 katika msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Taifa (NSL).

Ngoto tayari amefunga mabao 2 dhidi ya timu ya Taifa ya SS Assad FC wakati wa mechi ya kirafiki.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours