Baada ya msanii mkongwe, Juma Nature kuweka wazi sababu za kutofika kufanya show ya Wasafi Festival, Mtwara kisa walitaka kumlipa Shilingi Laki 5 (500,000/=) kitu ambacho amechukulia kama dharau.
Q Chief ameibuka na kumkingia kifua Juma Nature kwa kusema kuwa amefanya makubwa kwenye muziki wa Bongo hivyo thamani yake ni kubwa sio ya kupewa kiasi hicho cha pesa
“My dearest brother moja kati ya wasanii pendwa mwenye records zako zakutosha and still u stand alone kwanza kabisa nikupongeze kwa msimamo wako juu ya hili itoshe kusema juma amefanya mengi na anastahili more respect sio huo ujinga mtu aliyekuletea mzigo wakutoshaa juzi tu leo ukamrubuni kwa laki tano atafanyia nini zaidi yakulewea walai aibu kubwa kwa kampuni kubwa umejitambua thamani yako”
“Kubwa hujawahi kukosa rizki kila siku unashow hiyo nikarma na sio kila mtu anayo itunze there still time. Ruge kafa na mengi sana kasemwa kasimangwa show zake zinaumiza anawatumia watu ila tangu aondoke mpaka leo bei zilezile why juzi tu kakupa fuko la dollar tena zakutosha kaondoka teee its time to change ur image”
“Misimamo sio ujeuri ni grows which to u sounds like lack of displine mlikuwa na muda wakujitafakari na kuitafakari safari ya kaka yetu nature but u ignored mdogo wangu kama utaendelea hivi na tale kuna siku utasikitishwa believe u have time to change be real stop acting”.
+ There are no comments
Add yours