Nyanda wa Man United, André Onana aliomba kuzungumza kwenye mkutano na Wanahabari baada ya kipigo cha 4-3 dhidi ya Bayern Munich
“Ni jukumu langu, hatukushinda kwa sababu yangu, na lazima nijifunze kutokana na hili”.
“Nina mengi ya kuthibitisha, kwa sababu kusema ukweli mwanzo wangu Man United sio mzuri sana”.
“Ni mimi niliyeiangusha timu”.
+ There are no comments
Add yours