Mke wa Ronaldo awatoa udenda mafans mtandaoni baada ya kuvaa jezi za timu ya mume wake ya Al Nassr na kupendeza kupita kiasi kutokana na urembo wake usio na mfano
Mashabiki wengi wamekoshwa mno na mvuto wa mrembo huyo baada ya kuvaa jezi hiyo ambapo ameifanya wanawake wengi wa mjini maslay queen kuitafuta kwa udi na uvumba kwani imeonekana inapendeza mno na kuwavutia vidume.
Hizi Hapa Picha zaidi
+ There are no comments
Add yours