Mke wa Gavana kaunti ya Taita Taveta Sabina Mwadime kwa ushirikiano na wafanyibiashara, pamoja na wahisani, amesambaza chakula kwa mamia ya familia zilizoathiriwa na mafuriko mjini Voi .
Kwenye kikao na waaathiriwa sehemu za Msambweni na Kasarani, Bi. Mwadime amewataka wahisani na wananchi kwa ujumla kusimama na mamia ya familia zilizohathirika, kuwasaidia warejelee maisha yao kawaida, ikizingatiwa walipoteza mali sawa na makaazi yao.
Ili kutoa mchango wako kwa ajili ya kusaidia waathiriwa, tumia nambari ifuatayo
LIPA NA M-PESA
Acc. No. 40076690
Business Name: Emergency Relief Response.
BANK ACCOUNT
Acc. Name: Emergency Relief Response Account
Acc. No. : 01128223766900
+ There are no comments
Add yours