Ni afueni kwa wanavijiji wa Mokine, Mrabani na Python Hill baada ya viongozi wa Taveta ikiongozwa na mbunge Wakili Bwire, mwakilishi wa wadi wa eneo hilo Mh. Taraya na maafisa wa Usalama kuangazia swala la kufurushwa kwa wakazi sehemu hiyo kwa lazima.
Mbunge huyo alieleza kuwa ufurushaji unaoendelea eneo hilo haufai hadi pale uamuzi utatolewa na mahakama
+ There are no comments
Add yours