Alikiba ameweka wazi kwamba anaenda kuachia wimbo wake mpya ikiwa ni Kolabo na mwanamke. Kupitia mtandao wake wa X Alikiba ameandika.
“Wimbo wangu wa mwisho kumshirikisha muimbaji wa kike ulikuwa Single Boy ft Jide Jaydee….”
Wimbo wangu ninaotoa leo nimeimba na malkia mwingine unahisi Nani?”
+ There are no comments
Add yours