Aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Mbuvi Sonko ajiunga na kinyang’anyiro cha ugavana Mombasa kupitia tiketi ya Wiper

Estimated read time 1 min read

Mwanasiasa mahiri na aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, ametangaza rasmi kujiunga na siasa za kumrithi Hassan Joho kama gavana wa pili wa Mombasa kwa tiketi ya wiper

Chama cha Wiper kiliweza kumuithinitha Mike Sonko kuwania nafasi ya ugavana Mombasa na jina lake ni lilitumwa kwa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC)

Makamu Mwenyekiti wa bodi ya kitaifa ya uchaguzi wa Wiper, Agatha Solitei, alithibitisha semi hizo kuwa Sonko atachuana na mbunge wa kisauni Ali Mbogo katika kura ya Mchujo

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours