Toni Kroos ametimiza assist 100 kwenye career yake ya soka. Leo ndio Mchezo wake wa mwisho kucheza ngazi za vilabu, hatacheza mchezo wowote Tena kwa klabu yoyote baada ya Fainali hii kumalizika.
Baada ya hapo ataenda kuhitimisha career yake ya soka kwenye mashindano ya UEFA Euro baada ya mashindano hayo kumalizika atastaafu rasmi kucheza soka la kimataifa.
+ There are no comments
Add yours