Mwanadada Anerlisa kutoka Kenya amemuumbua Ben Pol (Aliyekuwa mume wake) baada ya kuvujisha meseji za msanii huyo akimbembeleza na kuelezea alivyomkumbuka.
Anerlisa Muigai amemuumbua aliyekuwa mume wake Ben Pol baada ya kusema kuwa hakuwa anafurahia ndoa na alikuwepo kwa ajili ya instagram.
Anerlisa anaweka wazi picha za skrini kutoka kwa mpenzi wake wa zamani Ben Pol, anasema amechoka kuonekana kama mtu mbaya.
+ There are no comments
Add yours