Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management.
Msanii huyo kwa mara ya pili amefungua YouTube channel mpya na ako na ngoma mpya inaitwa Tupewe pombe
Kwa mashabiki wa burudani wanaofurahishwa na mziki wa B Classic mnaweza kumpata kupitia youtube channel Official Bclassic
+ There are no comments
Add yours