Bahati Na Mke Wake Diana Wazua Mjadala Kisa Picha Za chumbani

Estimated read time 1 min read

Aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili Kelvin Kioko almaarufu Bahati amezua utata baada ya kuchapisha picha za mkewe, Diana Marua, kwenye chumba cha utupu. Bahati aliongozana na Diana hadi chumba cha utupu kutazama “vizuri” vyake vikisafishwa.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours