BARCELONA WANATAFUTA MBADALA WA XAVI.

Estimated read time 1 min read

Orodha ya Majina ya makocha ambao Tayari Barcelona imefanya mazungumzo nao kuchukua nafasi ya Xavi Hernandez mwisho wa msimu huu.

🇩🇪 Hans Flick

🇪🇸Mikel Arteta

🇪🇸 Xabi Alonso

🇩🇪 Jurgen Klopp

🇵🇹 Jose Mourinho

🇩🇪 Thomas Tuchel

🇧🇷 Rafael Marques

🇮🇹 Roberto De Zerbi

🇩🇪 Julian Nagelsmann

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours