Estimated read time 2 min read
BURUDANI CELEBRITIES

Jacqueline Wolper, amethibitisha kuachana na Mume wake, Rich Mitindo

0 comments

Mwigizaji wa filamu na Mfanyabiashara nchini Jacqueline Wolper, amethibitisha kuachana na Mume wake, baba watoto wake Rich Mitindo, na kwa sasa anashughulikia suala la talaka. [more…]