Category: ENTERTAINMENT
Daddy Yankee atangaza talaka kwa mkewe Mireddys González baada ya miaka 30 ya ndoa
Daddy Yankee, mfalme wa reggaeton, ametangaza kuwa atakuwa na mwaka mpya kama mtu single baada ya yeye na mke wake Mireddys González kuachana baada ya [more…]
Hazeeki Huyu Mengi. Miss Tanzania 2000
Katika picha ni Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, licha ya kutwaa taji hilo miaka 24 iliyopita bado anavutia. Utakumbuka pia aliwahi kufanya muziki akifahamika [more…]
Kariakoo ya Maua Sama Yaondolewa Youtube
Wimbo mpya wa Maua Sama uitwao ‘Kariakoo’, aliouachia hivi karibuni kwa kushirikiana na Ibraah_tz, Jaivah, na GnakoWaraWara, umekumbwa na changamoto baada ya kuondolewa kwenye mtandao [more…]
Mwigizaji Tesa wa Huba Afariki Dunia.
Bongo movies imepoteza moja ya waigizaji wa mfano aliyekuwa kioo cha jamii kimaadili kwa vitendo kuanzia uvaaji, mahusiano na watu. Grace Mapunda hakuwa mtu wa [more…]
DAP-K’s Eugene Wamalwa Pulls Out of Azimio Coalition
After months of contention between Azimio Principals and Raila Odinga, one of them has finally decided to pull his party out of the coalition. Speaking [more…]
Mrembo Vera Sidika Aonesha Sura yake Mpya Baada ya Sajari
Mrimbwende maarufu katika masuala ya urembo nchini Kenya, Vera Sidika ameonyesha sura yake mpya baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Uingereza. Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali [more…]