Category: SWAHILI NEWS
Merchan anaamuru Trump kuhudhuria hukumu mnamo Januari 10
Jaji Juan Merchan wa Mahakama kuu ya New York, ameamuru Rais mteule wa Marekani Donald Trump ahukumiwe kabla ya kuapishwa, katika kesi ya kughushi rekodi. [more…]
MASHABIKI WAMSHUSHIA SHUSHO MATUSI KISA MARTHA MWAIPAJA
Mashabiki wameonesha kuchukizwa na kitendo cha Christina shusho kumpandisha mazabauni Martha mwaipaja kabla hajamaliza tofauti na mama yake mzazi, wamchamba kisawasawa. Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo [more…]
Polisi Wawakamata Waandamanaji wa Mombasa Huku Maandamano ya Kupinga Utekaji nyara Yakiendelea
Polisi wameripotiwa kuwakamata waandamanaji kadhaa waliojiunga na maandamano ya kupinga utekaji nyara mjini Mombasa nchini Kenya. Huku maandamano yakianza katika maeneo kadhaa ya nchi baada [more…]
Wasiwasi Wa Man City Kukosa Ligi Ya Mabingwa Msimu Ujao
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anasema klabu hiyo iko katika hatari ya kukosa nafasi ya kushiriki katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. City [more…]
ARSENAL : Saka Kukosa Wiki Kadhaa Kutokana Na Jeraha
Klabu ya Arsenal imepata Pigo Kubwa baada Bukayo Saka kutarajiwa kuwa nje kwa wiki kadhaa akijiuguza jeraha lake la Misuli ya Paja alilolipata kwenye Mchezo [more…]
Klabu ya Bayern Munich imetangaza kuipumzisha Jezi Namba #5
Klabu ya Bayern Munich iliamua kumuenzi gwiji wake na mchezaji wake wa kihistoria, Franz Beckenbauer, kwa namna ya pekee. Klabu hiyo imechukua uamuzi wa kutompa [more…]