Category: BURUDANI
Jacqueline Wolper, amethibitisha kuachana na Mume wake, Rich Mitindo
Mwigizaji wa filamu na Mfanyabiashara nchini Jacqueline Wolper, amethibitisha kuachana na Mume wake, baba watoto wake Rich Mitindo, na kwa sasa anashughulikia suala la talaka. [more…]
MASHABIKI WAMSHUSHIA SHUSHO MATUSI KISA MARTHA MWAIPAJA
Mashabiki wameonesha kuchukizwa na kitendo cha Christina shusho kumpandisha mazabauni Martha mwaipaja kabla hajamaliza tofauti na mama yake mzazi, wamchamba kisawasawa. Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo [more…]
Hazeeki Huyu Mengi. Miss Tanzania 2000
Katika picha ni Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, licha ya kutwaa taji hilo miaka 24 iliyopita bado anavutia. Utakumbuka pia aliwahi kufanya muziki akifahamika [more…]
Kariakoo ya Maua Sama Yaondolewa Youtube
Wimbo mpya wa Maua Sama uitwao ‘Kariakoo’, aliouachia hivi karibuni kwa kushirikiana na Ibraah_tz, Jaivah, na GnakoWaraWara, umekumbwa na changamoto baada ya kuondolewa kwenye mtandao [more…]
Mwigizaji Tesa wa Huba Afariki Dunia.
Bongo movies imepoteza moja ya waigizaji wa mfano aliyekuwa kioo cha jamii kimaadili kwa vitendo kuanzia uvaaji, mahusiano na watu. Grace Mapunda hakuwa mtu wa [more…]
MSANII CMB PREZZO KAOKOKA KUJIUNGA NA GOSPEL MUSIQ
Rapa CMB Prezzo amechonga njia mpya ya kuacha muziki wa kilimwengu na kuanza kuimba mzingi wa injili. Rapa huyo mkongwe aliweka maisha yake hadharani kwa [more…]