Estimated read time 1 min read
BURUDANI CELEBRITIES

Mchekeshaji wa Tanzania Aliyetamba Kenya Kwa Msemo Wa ‘Kata Simu Tupo Site’ Afariki Dunia

Msanii mkongwe wa vichekesho nchini Tanzania Umar Iahbedi Issa, almaarufu Mzee Mjegeje, ambaye anatambulika mitandaoni nchini Kenya kwa kauli mbiu yake ya ‘Kata simu tupo site’ amefariki dunia. Mzee Mjegeje inasemekana alikata roho Jumatano, Machi 20, katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Tanzania, alikokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wake, Real Jimmy, alithibitisha habari hizo…

Estimated read time 2 min read
BURUDANI ENTERTAINMENT

ALIKIBA ATUPA JIWE “HII SIO MEDIA YA FAMILIA”

Msanii wa Bong flava Ali Saleh Kiba almarufu kama Ali kiba Baada ya uzinduzi wa Radio yake kwa jina #CrownFm akiwa jukwaani akiimba alisema kuwa “Hii sio media ya familia ambayo watu wengi walioajiriwa ni ndugu” Alikiba amezindua kituo cha redio kwa jina “Crown FM”. Uzinduzi huo ulifanyika usiku wa Jumamosi Machi 9 2024 katika…