Estimated read time 1 min read
BURUDANI

HARMONIZE APIGA STOP SHOO SIERRA LEONE KISA MPENZI WAKE KAKOSA VISA.

0 comments

Staa wa Bongofleva Harmonize amechukua uamuzi wa kusogeza mbele show yake aliyopaswa kuifanya siku ya Valentines Februari 14, 2024 huko nchini Sierra Leone. Harmonize ametaja sababu ya kusogeza mbele show yake kuwa baadhi ya watu kwenye team yake wamekosa Visa akiwemo mpenzi wake Poshy Queen akisema “SIERRA LEON I WILL NEVER MAKE IT ON 14/2/…

Estimated read time 1 min read
BURUDANI

Wimbo Mpya Wa Mr. Blue Mapoz Akimshirikisha Diamond Platnumz & Jay Melody

0 comments

Mapozi ni wimbo wa Mr Blue ambao ulitoka miaka 16 iliyopita, chini ya kiwanda cha G.Records zilipozalishwa hit kibao. Wakali wa tatu, Mr. Blue, Diamond Platnumz na Jay Melody wamekuja pamoja kwenye ngoma moja iliyopewa jina la MAPOZ Lakini hapa umiliki unakwenda kwa Diamond Platnumz akimshirikisha Mr Blue na Jay Melody ubishi ni mkubwa mtaani…

Estimated read time 1 min read
BURUDANI ENTERTAINMENT HABARI

MWANAMUZIKI “ZAHARA” ALIYEIMBA LOLIWE AFARIKI DUNIA

0 comments

Muimbaji maarufu wa Afrika kusini Bulelwa Mkutukana maarufu kama Zahara amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu maradhi ya Ini. Zahara ambaye amezaliwa November 9 Mwaka 1987 amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya ini ambapo majuma mawili yaliyopita familia yake ilitoa taarifa kwa umma ya kuthibitisha hali ya binti yao na kwamba kwa Wakati huo…

Estimated read time 1 min read
BURUDANI HABARI

BONGO FLAVA: Director Nisher Afariki Dunia

0 comments

PICHA | HISANI NISHER ENTERTAINMENT Baada ya kuthibitishwa kuwa Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki. Kupitia akaunti yao ya Instagram iliyothibitishwa, wameandika: “Familia ya Nabii Dk. Geordavie…

Estimated read time 2 min read
BURUDANI CELEBRITIES

Harmonize Atupa Vijembe Kwa Diamond Platnumz. “Kama Wanakupenda Kweli Hawawezi iba Kofia”

0 comments

Staa wa Bongo, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize mnamo Jumamosi jioni alionekana kutupa vijembe kwa aliyekuwa bosi wake katika WCB, Diamond Platnumz kuhusu wizi wa kofia yake. Siku chache zilizopita, kofia ya kijani ya Diamond iliibiwa alipokuwa akipita katikati ya mashabiki wake mjini Dodoma, Tanzania na ikabidi atume walinzi wake kumfuata aliyeichukua. Jumamosi, Konde Boy…