Estimated read time 1 min read
BURUDANI ENTERTAINMENT

DIAMOND NA RAYVANNY WALIPANGA KUCHUKUA URAIA WA KENYA

0 comments

Mwanamuziki mashuhuri wa Tanzania Rayvanny amefichua jinsi alivyokaribia kubadili uraia wa Tanzania na kuhamia Kenya. pamoja na bosi wake wa zamani, Diamond Platnumz baada ya kuingia kwenye matatizo na mamlaka za Tanzania. Rayvany kwenye interview na kituo cha habari Kenya Radio, Citizen akiojiwa na Willy Tuva alifunguka Jambo ambalo alikuwai kujulikana na yeyote. Hadi hatua…

Estimated read time 1 min read
BURUDANI

Alikiba Is A Witchdoctor, Baraka The Prince

0 comments

After Alikiba celebrated his birthday with his entire squad, Baraka Da Prince is back with more Ridiculous words. Only the other day, Baraka walked out during an interview on a radio station because of the mention of Alikiba’s name. Baraka through his Instagram has appeared to call Alikiba a  termed a ‘traditional witchdoctor’. “Mr. Kero…

Estimated read time 1 min read
BURUDANI

Rayvany Kaweka Album Ya Harmonize #VisitBongo Badala Ya Yakutoa Nyimbo Zake 5 Kama Alivyoahidi

0 comments

Rayvany alikuwa ameahidi kutoa nyimbo zake 5 siku ya jana ila hakufanya hivyo. Alichokifanya ni kueka Instastory Album ya Harmonize #visitbongo badala yake kutoa nyimbo hizo. Rayvany akusema chochote kuhusiana na nyimbo zake hizo. Baadhi ya mashabiki walimfuata Instagram kwenye comment kumuitwa muongo kwa kuwadanganya.

Estimated read time 1 min read
BURUDANI ENTERTAINMENT

Alichosema Rayvanny Baada Ya Kufika Kwa Harmonize Kuchukua Tuzo Alilobebewa Na Harmonize Kutoka Marekani.

0 comments

Baada ya Harmonize kumchukulia Rayvanny tuzo kutoka USA na kumwambia aifuate Aiport kesho au aifuate Konde Village, hatimaye Rayvany ameendea tuzo nyumbani kwa Harmonize. Rayvanny pia ametoa kauli yake kuhusu Harmonize kushinda tuzo tatu akisema hakuna tuzo ndogo wala kubwa maana ni wasanii wengi wametamani tuzo hizo. “Mtu anapoamua kuchukua Tuzo usije Seema ni Tuzo…

Estimated read time 1 min read
BURUDANI PWANI

WASANII WATAKAO PERFORM KWENYE ZAMA ZAO FESTIVAL WAMESAHAU LYRICS ZAO- KIDIS

0 comments

Msanii kutoka pwani Kidis The Jembe amesema kuwa wasanii wengi walioalikwa kutumbuiza kwenye zama zao festival ni wakongwe ambao hawajafanya maonyesho kwa Zaidi ya miaka kumi hivyo kusahau nyimbo zao wenyewe. Kidis Katika mahojiano na presenter wa Mo Radio, YugeBwize, ameongeza kuwa hakuna umoja kwa wasanii hao na umoja unaoonekana ni Kwa ajili ya pesa…

Estimated read time 1 min read
BURUDANI ENTERTAINMENT

Harmonize Alimchukulia Rayvany Tuzo Kutoka USA, Ampa Maagizo Atakavyo Ipata

0 comments

Msani Harmonize Amemtaka Msani Mwezake Rayvanny kuja kuchukua Tuzo yake ya #AEAUSA 2023 Ambapo harmonize_tz limchukulia Tuzo hio kwa niaba ya Rayvanny Huku akimtaka afike sehemu zifutazo. Aidhaa afike Airport siku ya Jumatatu au Afike konde village,Tuzo hizo zimetolewa Nchini Marekani na wimbo wa Mama TETEMA umeshinda Tuzo ya Best collaboration of the Year #Maluma…