Category: DUNIANI
Merchan anaamuru Trump kuhudhuria hukumu mnamo Januari 10
Jaji Juan Merchan wa Mahakama kuu ya New York, ameamuru Rais mteule wa Marekani Donald Trump ahukumiwe kabla ya kuapishwa, katika kesi ya kughushi rekodi. [more…]
Sherehe mjini Damascus huku wapinzani wa Syria wakitangaza kumalizika kwa utawala wa Bashar al-Assad.
Aliyekuwa Rais wa Syria, Bashar al-Assad ameng’olewa madarakani usiku wa kuamkia leo Jumapili, Desemba 8, 2024, baada ya waasi kuingia katika mji wa Damascus. Taarifa [more…]
MAREKANI:Donald Trump Ashinda Uchaguzi Marekani
Donald Trump amemshinda kiti cha uraisi katika uchaguzi wa urais wa 2024 Marekani, hatua ambayo inampa muhula wa pili na kubadili rekodi iliyowekwa na Grover [more…]
EQUITORIAL GUNIEA : BOSI KATIKA KASHFA KUU YA NGONO, ADAIWA KUFANYA NGONO NA DADA YA RAIS, MKE WA KAKAKE, WAKE WA MAWAZIRI NA WENGINE.
Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Upelelezi wa Fedha la Taifa la Guinea ya Ikweta (ANIF), amejikuta katikati ya skendo kubwa baada ya [more…]
Wanajeshi wa China wasema ‘wamejiandaa kwa vita’ katika zoezi kubwa la kijeshi
Wakati dunia ikiwa bize na vita huko Ukraine na mashariki ya kati, Taiwan na China nao wanaendelea kutunishiana misuli vikali ambapo mapema mwezi huu China [more…]
Imam Khamenei alimtunuku “Nishani ya Fath” Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Leo kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khemenei amemvisha nishani ya heshima kamanda mkuu wa jeshi la anga la nchi hiyo Brigedia Jenerali Amir Ali [more…]